Mfumo wa kinga ya mwili umetengenezwa na vipengele mbalimbali ikiwa ni pamoja na viungo vya mwili, bone marrow, seli, kinga na kemikali pamoja na madini ya kuweza kuzitengeneza na kusaidia kuziboresha. .
Baadhi ya vitu vya kuweza kuboresha kinga yako ya mwili ni kama ifuatavyo:-
Vitamin C
Selenium
Vitamin A
Beta-carotene
Zinc
Echinacea Angustifolia Echinacea
Acidophilus
CoEnzyme-Q10 CoEnzyme
Thymus Glandulars
Disclaimer: Taarifa iliyotolewa ni kwa madhumuni ya habari tu. Ni kutokana na tafiti za kisayansi au matumizi ya jadi. Shauriana na mtaalamu wa huduma ya afya kabla ya kutumia virutubisho au kufanya mabadiliko yoyote katika dawa yako.