Vijana ambao wanatumia muda wao mwingi kusikiliza muziki kuliko kusoma wameonekana wanakua na depression zaidi.
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Pittsburgh walifanyia utafiti vijana zaidi ya 100 - karibu nusu ya hao wanamatatizo ya depression tayari.
Wakaona kuwa wale ambao walikuwa wanazikiliza muziki walikuwa mara nane zaidi kuwa na depression kuliko wale waliokua wanatumia muda wao mwingi kusoma vitabu.
Wataalam wanasema hawajui kuwa depression inaletwa na kusikiliza music au wanakua wamepata depression tayari hivyo wanapendelea kusikiliza music ili kuondoka katika upweke huo.
Ila la kujifunza hapa ni kuwahamasisha vijana kupenda kusoma vitabu toka wakiwa watoto. Tabia hiyo itawasaidia wakiwa wakubwa na nni anajua kuwa itapuguza depression pia?
Kwa habari zaidi soma kwenye tovuti hii www.whec.com