Wednesday, August 10, 2011

Je unajaribu kupata mimba bila maganikio?

Je umejaribu kupata mimba lakini hujafanikiwa? Jinsi gani unaweza kuengeza chance ya kupata mimba?

Hatua ya kwanza ni kujua jinsi uzazi unavyotokea na jinsi ya kuweka mwili sawa kwa wakati unapokua ready kupata mimba. Pia mhusishe mwezi wako awe katika shape nzuri wakati mnapotafuta mtoto.

Lakini wataalamu wanasema kama umejaribu kutafuta mtoto kwa kipindi fulani na hujafanikiwa basi nenda kwa doctor. Jinsi ya kuwaza kumwona doctor ni kama ifuatavyo:-



Miaka chini ya 30 kama wewe umejaribu kupata mtoto kwa muda wa mwaka mmoja na hujafanikiwa basi ni vizuri kutafuta ushauri wa wataalamu.

Miaka 31-40 ni miezi 6 kama hukufanikiwa kupta mimba katika kipindi hicho nenda kamowne mtaalamu.

Kama wewe una umri wa miaka 41 na kuendelea kama umejaribu kupata mimba na hukufanikiwa basi mwone mtaalamu wa mambo ya uzazi au wanawake baada ya miezi miwili tu.

Sasa uzazi unatokeja pale

1. Kama unatumia dawa za uzazi wa majira acha kutumia. Na wataalamu wanashauri jitahidi kuanza kutafuta mtoto miezi 3 au 6 baada ya kuacha kutumia dawa za uzazi wa majira.

2. Jitahidi kujua siku ya Ovulation

Katika kila cycle ya mwezi wanawake walioko kati miaka ya 20 na 30 20% wanaweza kupata mimba kama hawatumii dawa za uzazi wa majira. Na hiyo ni number kubwa sana uukizingatia unapata mimba wakati ukiwa kwenye ovulation tu nani kati ya masaa 12- 24 wakati yali lipo hai au limejifungua tayari kwa kusubiri kuwa fertile. Haionikani kama ni muda mrefu ukizingatia mayai ya kiume huya yanaweza kukaa zaidi kwa muda mrefu toka siku tatu mpaka sita kabla hayajatoka lakini hata kama umehave sex siku chache kabla ya ovulation chance ya kupata mimba ni kubwa. Baada ya ovulation nafasi ya kuoata mimmba haipo tena mpaka cycle ya mwezi ujao. Hivyo cha muhimu ni jinsi ya kufahamu siku yako unayo ovulate.