Wednesday, August 10, 2011
Sababu za shinikizo la juu la damu...
1. Kuvuta sigara
2. Unene
3. Kutokufanya mazoezi ya mwili
4. Kula chakula chenye chumvi nyingi
5. Kunywa pombe nyingi.
6. Stress
7. Uzee
8. Maumbile
9. Kurithi
10. Kama una ugonjwa wa maini
11. Matatizo ya matezi
12. Chakula unachokula
13. Jinsi unavyoishi
Lakini inaonyesha wanaume ndio wanapata mshinikizo wa damu wa kurithi ni wengi kuliko wanawake. Na ikishafikisha miaka 65 wanawake wengi ndio wanapata mshinikizo wa damu wa juu kuliko wanaume. Sasa kama wewe katika familia yenu kuna historia ya high blood pressure ni vizuri kuwa muangalifu kwa kila unachokula na kujizoesha kuishi maisha yenye uchangamfu.