- Watu wenye ndugu ambao wana mshinikizo wa juu wa damu.
- Watu wanaovuta sigara.
- Wanawake waja wazito.
- Wanawake wanaotumia dawa za uzazi wa majira.
- Watu walio na umri zaidi ya miaka 35.
- Watu ambao ni wanene.
- Watu ambao hawafanyi mazoezi.
- Watu wanaokunywa sana pombe.
- Watu wanaokula vyakula vyenye mafuta sana au vyakula vyenye chumvi sana.