Rosacea ni hali ambayo inafanya ngozi iwe na uvimbe kwenye mashavu, pua, kidevu, kipaji, kope za macho. Hali hii inaweza kuonekana kama uwekundu, uvimbe, au milipuko wa ngozi sawa na chunuzi.
Wenye kuweza kupata hii kiurahisi ni:-
Wanawake ( ingawaje wanaume wanaopata inakuka kali sana kuliko wanawake)
Watu wenye ngozi nyeupe wanapata kuliko wenye ngozi nyeusi.
Kama wewe unabadilika rangi kuwa mwekundu kirahisi (blush)
Kama uko kari ya miaka 30 na 50.
Sababu
1.Maji ya moto (hot tub).
2. Kutoka kwenye hali ya hewa ya baridi na kwenda ya joto au ya joto kwenda ya baridi.
3. Kula vyakula vyenye spices.
4. Kukaa sana kwenye jua.
5. Stress