Wednesday, August 10, 2011
Jinsi ya kupunguza uzito haraka
Hii sio ya mtu anayetaka kupunguza zaidi ya pound 5 na kuendelea. Hii ni kwa yule mwenye kutaa kufit kwenye vai lake kwa muda mfupi..
Siku ya 1
Asubuhi
Chai ya rangi , Asali kijiko kimoja na limao au kahawa
1/2 Grapefruit
Kipande kimoja cha mkate (whole bread), jam, siagi au peanutbutter ni sawa kutumia
Mchana
Chai ya rangi, asali na limao au kahawa
Kipande kimoja cha mkate, siagi, jam au peanut better ni sawa
Dengu nusu kikombe
Jioni
3 ounces ya nyama nyekundu isiyo na mafuta
Kikombe kimoja cha mchicha
Kikombe kimoja karoti
Tunda moja (embe, chungwa, ndizi mbivu etc)
Kikombe kimoja cha ice cream
Siku ya 2
Asubuhi
Chai ya rangi , Asali kijiko kimoja na limao au kahawa
Yai moja
1/2 Ndizi ya kuiva
Kipande kimoja cha mkate (whole bread), jam, siagi au peanutbutter ni sawa kutumia
Mchana
Chai ya rangi, asali na limao au kahawa
8 crackers kama haua basi Kipande kimoja cha mkate, siagi, jam au peanut better ni sawa
Kunde nusu kikombe
Jioni
3 ounces ya samaki
Kikombe kimoja cha kabechi
Kikombe kimoja karoti
Tunda moja (embe, chungwa, ndizi mbivu etc)
Kikombe kimoja cha ice cream
Siku ya 3
Asubuhi
Chai ya rangi , Asali kijiko kimoja na limao au kahawa
1/2 tunda lolote unalopenda
Kipande kimoja cha mkate (whole bread), jam, siagi au peanutbutter ni sawa kutumia
Mchana
Chai ya rangi, asali na limao au kahawa
Kipande kimoja cha mkate, siagi, jam au peanut better ni sawa
Yai moja la kuchemsha
Jioni
3 ounces ya nyama ya kuku
Kikombe kimoja cha mchicha
Kikombe kimoja karoti
Tunda moja (embe, chungwa, ndizi mbivu etc)
Kikombe kimoja cha ice cream
Ukifanya hii diet kwa siku tatu au sita na kutembea kwa miguu kila siku jioni kwa dakika 20 hadi 60 utaweza kupunguza pounds kadhaa. Lakini kumbuka hii ni kwa muda wa week moja tu au kama umemwona doctor wako mkajadiliana na akakushauri uendeleee nayo.
Na pia lazima kula kila kitu unaweza kubadilisha unachotaka lakini kama unabadilisha zingatia vipimo.