Wednesday, August 10, 2011

Jinsi ya kuengeza chance ya kupata mimba bila matibabu

Unaweza kuengeza chance ya kupata mimba kwa

1.Hypnosis - Wataalam wanasema inaweza kuongeza chance ya kupata mimba kwa kukufanya urelax hasa wakati una stress a wasiwasi mwingi. Unaweza kujaribu mwenyewe kwa kutumia CD na DVD's za hypnosis au kutafuta mtaalamu wa haya mambo.

2. Relaxation - Unaweza kufanya relaxation kwa kutmia yoga, meditation, au Pilate.



3. Acupuncture - Pengine unajua acutuncture inahusika na kutoboa toboa pini kwenye sehemu maalumu a mwili. Kwa kutoboa huko kunaweza kukusaidia kinachokufanya usipate mimba. Wachina wanasema inastimulate mustles za mwli wako.

4. Chiropractic - Wataalamu wanasema hii inasaidia kumanipulate uti wa mgogo kwa vile baadhi ya reproduction organs zinapita kwenye uti wa mgogo.

5. Weight- Check uzito wako. kam awewe ni msito sana jitahidi upungue au kama wewe ni mwembamba sana jitahidi uongezeke.

6. Tunza mbegu za mwenzi wako - Wanasema kama mwanaume anava tigh underware, kukalia kiti cha gari kinachopashwa moto, kuweka laptop kwenye mapaja yake, kukaa kwenye hot tub kwa muda mrefu na sasa hivi wameengeza cell phone zinapunguza mbegu za uzazi.

7. Mwambie mwenzi wako apunguze stress- Wanasema stress zinaingiliz uzalishaji wa mbegu za mwanaume pia.

8. Sigara - Wote kama mnavuta sigara ni vizuri muache. Sigara zinapunguza idadi ya mbegu za kiume.

9.Chakula chenye virutubisho kwa wote. Kwa mwanamke vyakula vyenye folic acid na iron na mwanaume aengeze vyakula vyenye zink

10 Supplements - Iron, folic acid kwa mwanamke na mwanamme zinc.