Bidhaa za kusafishia nyumba ambazo hazina sumu pamoja na kuwa ni nzuri kwa afya zetu, pamoja na watoto pia ni nzuri kwa kutunza mazingira yetu. Na sumu wanazokula watoto chini ya miaka sita zinazoripotiwa kila siku moja ya tatu ya ripoti hizo ni kutoka na bidhaa za kusafishia nyumba. Bidhaa hizi zenye sumu huharibu nyumba zetu, afya zetu na mazingira kwa ujumla.
Unaweza kusafisha nyumba yako vizuri kabisa na vitu ambavyo havina sumu na pengine unavyo tayari nyumbani kwako.
Maelekezo
1. Ili uweze kutumia kwa urahisi weka mchanganyo wako kwenye chupa ya plastic ya kuspray na kama mchanganyiko wako uko na mafuta basi weka kwenye chupa ya glass.
2. Andika ulable kwenye chupa yako vitu vyote ulivyochanganya na natumizi yake huo mchanganyiko wako ni wa nini.
3. Kwa vile umechanganya nyumbani mwenyewew ni vizuri kujaribu sehemu kidogo kabla hujatumia yote ili uangalia hicho kitu unachosafisha kitareact vipi.
Vitu utakavyo hitaji:-
Siki
Sabuni ya maji
Olive oil
Maji ya malimao
Chumvi
Borax
Baking soda
Washing soda (sodium carbonate)
Tea tree essential oil (optional)
Several spray bottles
Several glass jars (with lids)