Tuesday, January 31, 2017

Jifunze Kuongea Kiingereza - Mwanzo 2nd Edition

Kitabu changu cha kujifunza kuongea Kiingereza - Mwanzo toleo la pili kinapatikana sasa hivi Amazon. Pamoja na kusafisha makosa yaliyojitokeza katika toleo la kwanza pia nimeongeza sura mbili ambazo niliona ni muhimu watu wanaojifunza Kiingereza kujifunza. 

Jipatie kitabu hiki ujifunze Kiingereza kwa muda wako na wakati wako.

https://www.amazon.com/Jifunze-Kuongea-Kiingereza-Mwanzo-Swahili/dp/1542890594/ref=sr_1_1?s=books&ie=UTF8&qid=1487708612&sr=1-1