Wednesday, August 10, 2011

Misuko ya kubana na weaving inasababusha kipara

Utafiti mpya unaonyesha kuwa misuko inayobana sana, pamoja na weaving inahusiana sana na kupotenza nywele kabisa kwa wanawake wengi wa asili ya kiafrica nchini Marekani.

Wakati matokeo hayakuweza kuthibitisha kuwa kutokutunza nywele zako vizuri ni sababu ya tatizo la upotezaji wa nywele alismea Dk Angela Kyei, ambaye anafanya kazi utafiti huu. Aliesema ni heri wanawake wenye kusuka au kuweka weave kuelewa utafiti huu na kuwa waangalifu kabla ya kusuka nywele ndogo au kuweka weave mara kwa mara.


Mimi si kuambii usisuke nyele zako, lakini mimi nataka kuwaambia usisuke nywele zinazokazwa mpaka unahitaji kuchukua dawa ya maumivu mara umalizapo kusuka," alisema Kyei, wa Kliniki ya Cleveland Ohio.

Kuvuta nywele kwa muda mrefu kunasababaisha uvimbe kwenye hair follicle, ambayo imeonyesha inaongezea watu kupata scars. Katika kanuni inayoweza kusababisha aina ya kipara na kwamba dermatologist wanaona kuwa ni moja ya njia kuu ya centrifugal cicatricial na kupoteza nywele. Aina hii ya kipata huanzia kwenye kovu halafu huendelea polepole kwenye sehemu nyingine. Amesema inaonekana hutokea katika wanawake weusi tu na kwa sababu hakuna tiba kwa ajili yake, Kyei aliamua kujaribu kutafuta na kujua ni nini kinachosababisha badala yake.

Uchunguzi kutoka miaka ya 1960 ulikuwa uligusia ni kuhusiana na kunyoosha nywele kwa kutumia shanuo la moto, lakini utafiti mdogo unaonekana katika maelezo mengine. Utafiti huo mpya, uliyochapishwa katika Archives of Dermatology, ulikuwa na msingi wa afya na maswali yalulizwa katika wanawake 326 ambao ni Africa American.

Karibu wanawake wote waliokua wana choma nywele zao au kuweka curl mara kwa mara ilionyesha ni mmoja kati ya sita ndio alikua na makovu lakini katika wale waliokuwa wanasuka mara kwa mara ni zaidi ya nusu walikua na halii hii ya kuwa na makovu kwenye kichwa.

"Hii ni inatuambia kuwa kuna mwelekeo na tunahitaji kujifunza zaidi,"alisema Kyei, na kuongeza kuwa haina maana mitindo hii ya nywele ni lazima ndio inasababisha kipara ambayo inaweza kuwa sababu nyingine.

Na kwa ukweli, Wanawake wenye kisukari (type 2) walikua zaidi wanapoteza nyewle kwa makovu kuliko wanawake wenye maambukizo ya bakteria kichwani (Bacteria Scalp infection).

"Kama kuna ujumbe wowote wa kujifunza hapa kutoka utafiti huu, ni kwamba utunzaji wa nywele sio kitu pekee unapaswa kuangalia katika watu wenye huu ugonjwa, " Kyei alibainisha. "Kama unapoteza nywele hasa kama unapoteza nyele katikati ya kichwa unahitaji kutafuta matibabu."

Procter na Gamble walichangia sampuli ya shampoo kwa ajili ya utafiti, ambayo ilitolewa na wanawake kama malipo kwa ajili ya kushiriki.

SOURCE: http://bit.ly/gywzSj Archives of Dermatology, April 11, 2011.