Hii ni ugonjwa unaathiri misuli na tissue laini.
Dalili:-
- Maumivu yasiyoisha kwenye misuli
- Kuchoka
- Matatizo ya kulala.
- Maumivu ambayo yana hamia sehemu nyingine ya mwili kutoka siku moja kwenda nyingine.
- Maumivu kwenye sehemu laini za mwili
Kinachosababisha ugonjwa huu ni;-
- Maumivu ya mwili au stress
- Emotional stressful event
- Ugonjwa au ugonjwa wa matatizo ya kinga ya mwili.